LipaLink - Pokea Malipo Kisasa logo LipaLink - Pokea Malipo Kisasa

LipaLink - Pokea Malipo Kisasa

by TemboPlus

🗂️ Finance

🆓 free

4.9/5 ( 764+ reviews)
Android application LipaLink - Pokea Malipo Kisasa screenshort

Features LipaLink - Pokea Malipo Kisasa

Lipa Link ni App ya malipo itakayokusaidia kupokea malipo kutoka mitandao yote ya kijamii.
Lipa Link pia itakupa Akaunti ya benki itakayokuwezesha kutunza pesa za biashara yako kwa usalama na itakuwezesha kusimamia makusanyo yako ya kila siku.Ukikusanya malipo kutoka kwa wateja wako.
Itawekwa moja kwa moja kwenye akaunti yako ndani ya App ya LipaLink.
Hii ni akaunti ya benki kabisa na ni salama kwa pesa zako.
Pesa zako ulizokusanya ndani ya App ya Lipa Link utaweza kusitoa kwa urahisi kwenda kwenye mitandao ya simu, kwenda kwa mtu mwingine, au kwenda kwenye akaunti ya benki.

Secure & Private

Your data is protected with industry-leading security protocols.

24/7 Support

Our dedicated support team is always ready to help you.

Personalization

Customize the app to match your preferences and workflow.

Screenshots

See the LipaLink - Pokea Malipo Kisasa in Action

LipaLink - Pokea Malipo Kisasa Screen 1
LipaLink - Pokea Malipo Kisasa Screen 2
LipaLink - Pokea Malipo Kisasa Screen 3
LipaLink - Pokea Malipo Kisasa Screen 4

Get the App Today

Download on Google Play

Available for Android 8.0 and above